Ona mahitaji ya soko zaidi ya mtandao uliopo.
Bilima inaunganisha catalogue governance, distributor operations na privacy-protected demand intelligence ili kusaidia maamuzi ya uzalishaji na usambazaji.
Data na execution kwenye mfumo mmoja
Elewa bidhaa zinazotafutwa, maeneo yenye scarcity na performance ya distribution bila kuona confidential buyer identities.
Master catalogue
Simamia brands, products, variants, packaging, barcodes na distributor relationships.
Aggregated demand
Changanua demand kwa region, district, ward, category na business type.
Regional opportunity
Tambua high-demand, low-supply products na maeneo yasiyohudumiwa vizuri.
Distribution performance
Fuatilia order volume, fulfilment, cancellations, repeat buyers na delivery outcomes.
Kutoka catalogue hadi insight
Unda profile ya kampuni
Thibitisha manufacturer au distributor na locations zake.
Simamia bidhaa
Wasilisha catalogue records zilizo structured na zinazoweza kuunganishwa na suppliers.
Tumia demand intelligence
Panga distribution na stock kwa signals zilizokusanywa kwa faragha.
Unganisha biashara yako na mtandao wa Bilima.
Bilima inaunganisha catalogue governance, distributor operations na privacy-protected demand intelligence ili kusaidia maamuzi ya uzalishaji na usambazaji.