Kutoka usajili hadi order iliyokamilika.
Bilima ina njia tofauti kwa buyers, suppliers, manufacturers na logistics providers, lakini kila transaction inafuata taarifa na permissions zinazoweza kufuatiliwa.
Mchakato wa biashara
Hali ya stock, bei, location consent, malipo na delivery husasishwa kwenye hatua inayohusika.
1. Sajili na thibitisha
Unda account, chagua business type, weka location na documents za uhakiki.
2. Tafuta au weka bidhaa
Buyers hutafuta; sellers hu-link master catalogue na inventory ya location.
3. Kubali biashara
Quotation au offer inakuwa order yenye totals, payment na fulfilment method.
4. Kamilisha
Supplier au logistics provider anatekeleza, buyer anapokea na transaction inafungwa.
Baada ya order
Documents na history
Quotations, invoices, delivery notes, receipts na audit events hubaki kwenye order.
Repeat ordering
Buyer anaweza kurudia order au kuweka schedule ya daily, weekly au monthly.
Demand intelligence
Aggregated signals husaidia suppliers kupanga stock na manufacturers kupanga distribution.
Unganisha biashara yako na mtandao wa Bilima.
Bilima ina njia tofauti kwa buyers, suppliers, manufacturers na logistics providers, lakini kila transaction inafuata taarifa na permissions zinazoweza kufuatiliwa.