Pata bidhaa sahihi kutoka kwa supplier sahihi.
Bilima inasaidia maduka, supermarkets, bars, clubs, hotels, restaurants, event businesses na independent resellers kununua vinywaji kwa uwazi zaidi.
Unachoweza kufanya kama buyer
Kutoka utafutaji hadi kupokea mzigo, kila hatua ina taarifa unazohitaji kabla ya kuthibitisha.
Tafuta suppliers wa karibu
Chuja kwa bidhaa, brand, stock, bei, umbali, pickup, delivery na payment terms.
Linganisha gharama kamili
Ona unit price, tax, deposit, discount na delivery fee kabla ya kuchagua.
Quotation na repeat orders
Omba bei, jadili, kubali offer na ratibu oda za kurudia.
Delivery au pickup
Chagua fulfilment inayofaa na fuatilia delivery bila kufichua location mapema.
Anza kwa hatua tatu
Sajili biashara
Chagua aina ya biashara, weka eneo na tuma nyaraka kwa uhakiki.
Tafuta na linganisha
Tafuta bidhaa na linganisha supplier matches kwa gharama, stock na speed.
Agiza na fuatilia
Lipa, chagua delivery au pickup na fuatilia order hadi ikamilike.
Unganisha biashara yako na mtandao wa Bilima.
Bilima inasaidia maduka, supermarkets, bars, clubs, hotels, restaurants, event businesses na independent resellers kununua vinywaji kwa uwazi zaidi.